Naomba mwenye taarifa za kiwanja 20*20 au 20*30 maeneo yeyote ya barabara ya Bagamoyo tupeane taarifa..boko hadi bunju mpaka mabwepande.
Ukitaja bei ni nzuri pia kama na picha unayo ni nyongeza.
Mkuu Mimi nauza kiwanja changu kipo bunju miazini mita 500 kuingia ndani njia ya dogodogo center kina ukubwa wa mita 20 kwa 40 na bei yake 17ml ila pia tunaweza kuzungumza kidogo
Na pia kingine kipo ukivuka daraja la mapinga 2km kuingia ndani kidgo maeneo ya kiaraka
Ukubwa mita 20 kwa mita 25 na bei yake 7.5ml
Kwa Maelezo zaidi na ukihitaji kuja kuona tuwasiliane kwa 0756060183
Naomba mwenye taarifa za kiwanja 20*20 au 20*30 maeneo yeyote ya barabara ya Bagamoyo tupeane taarifa..boko hadi bunju mpaka mabwepande.
Ukitaja bei ni nzuri pia kama na picha unayo ni nyongeza.