kama hakuna kiwango cha mshahara kwa watu wenye msters, kwa nini walimu wengi wanazidi kujiendeleza kielimu hadi ngazi ya masters, wanategemea nini baadae
kama hakuna kiwango cha mshahara kwa watu wenye msters, kwa nini walimu wengi wanazidi kujiendeleza kielimu hadi ngazi ya masters, wanategemea nini baadae
Lengo la kujiendeleza kielimu ni zaidi ya kipato, unaongeza uelewa wako kwa manufaa yako na jamii kwa ujumla. Hilo la kipato ni sehemu ndogo tu ya malengo. Watu wenye mawazo kama ya kwako ndo wanatuongezea elimu za kwenye makaratasi. Ndio maana unakuta mtu ana CV nzuri lakini utendaji ziro.