J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,343 Oct 20, 2012 #1 Leo huko dodoma kuna kivumbi ndani ya UWT ..kina mama wawili wanachuana vikali huku kukiwa na vijembe na kushutumiama, kugawa pesa na vitu kama hivyo ambavyo vimezoeleka ndani ya ccm. Ni kati ya Sofia , Anne na .... Tupeane updates.
Leo huko dodoma kuna kivumbi ndani ya UWT ..kina mama wawili wanachuana vikali huku kukiwa na vijembe na kushutumiama, kugawa pesa na vitu kama hivyo ambavyo vimezoeleka ndani ya ccm. Ni kati ya Sofia , Anne na .... Tupeane updates.