Kiumbe yupi ni hatari zaidi duniani?

Actually malaria ndo inaongoza kwa kusababisha vifo vingi kwa binadamu sema haina kelele sana manake wengi wanaokufa ni kutokea nchi maskini duniani
 
2
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu mwenye madaraka huku akili yake ikiwa ndogo mfano wa kidogo Piriton
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…