Aiseeeeeee ni umekunywa sio "Ukumekunya".Ukumekunya hata chai kweli mkuu,
au ndiyo umeagiza vipande viwili vya mihogo na chai umeomba chumba cha pili.
Maana maisha yetu watanzania tunajuana.
Na baba yako ni kiumbe wa ajabu?
Wapendwa poleni na mihangaiko ya corona!!
Mimi kwangu kiumbe waajabu zaidi ni mwanaume
Anatafuta pesa kwanguvu zote afu tukiwaomba wanaanza kujishika shika nakunyiuma uma mwisho wa siku wanazitoa zote kesho yanaanza kulia kama mbuzi,
Mama yake mzazi anaweza kutotumiwa pesa hata miezi mitatu mpaka aumwe lakini kimpango wakando hadi ntaulizwa mbona hauombi nani anakupa bhasi anapigwa mtu zakutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wangu akiwa anasoma hasa wakike litamuhudumia mpaka chupi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mpaka ntashikwa na uwivu maana hamchelewi kula kimasihara
angalia sasa mdogo wake matusi mengi nakuambiwa malaya arudi kijijini akasalimie wazazi
Taja na nyingine hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliyoisahau
Sent using Jamii Forums mobile app

Saw bibie..ngoja nikuongezee ajabu nyngine y mwanaume ..anamwaga shahawa kwa sekunde kadhaa tu ila sas zinafanya mwanamke ajae tumbo kwa miez 9..yaan ni full kutema mate kula ndimu.udongo mwisho wa siku anazaa mtoto ambae ni mm na wew..MAAJABU HAYA[emoji23][emoji23] nae si mwanaume au unadhani babaangu wakike wee vipi
Sent using Jamii Forums mobile app