Unakuta mtu yupo ofisi ya huduma kwa wateja muda wote ye vidole na pua. Mbaya sana. Mwingine bize kutoa vinyweleo puani!
Ili kuacha safisha vizuri pua asubuhi unapooga. Kila ukigusa pua jikumbushe unapaswa kuacha hiyo tabia kwani ni kinyaa kwa wengine. Madhali unajijua, utaiacha karibuni.
Kawaida inachukua siku 90 ili kujenga mazoea fulani.