Usije ukawa una lalama tu. Kwan unatumia simu aina gan ?
Kila nikituma sms, wanaleta ujumbe unaoelekeza sms ngapi zimebakia kufikia offer zao. Sasa hii imekuwa kero.
Kinachonikera, ukituma text/sms wanaleta ujumbe wao ule unaosema umebakiza sms ngapi... Mimi naona bora watafute njia nyingine ya kumwonyesha mtumiaji wa simu amebakiza sms ngapi kuliko iliyopo sasa. Unakuta mtu upo busy na shuguli fulani huku unatuma sms, ujumbe wao ukitokea una-cancel kila kitu. Kama kuna mawakala wa Airtel humu wafikishe hii kero.
NB:KAMA UNAJUA JINSI YA KUFUNGIA UJUMBE HUO NIELEKEZE.