Kiukweli, Airtel wanakera kwa hili.

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,210
Kinachonikera, ukituma text/sms wanaleta ujumbe wao ule unaosema umebakiza sms ngapi... Mimi naona bora watafute njia nyingine ya kumwonyesha mtumiaji wa simu amebakiza sms ngapi kuliko iliyopo sasa. Unakuta mtu upo busy na shuguli fulani huku unatuma sms, ujumbe wao ukitokea una-cancel kila kitu. Kama kuna mawakala wa Airtel humu wafikishe hii kero.

NB:KAMA UNAJUA JINSI YA KUFUNGIA UJUMBE HUO NIELEKEZE.
 
Kila nikituma sms, wanaleta ujumbe unaoelekeza sms ngapi zimebakia kufikia offer zao. Sasa hii imekuwa kero.
 
Kila nikituma sms, wanaleta ujumbe unaoelekeza sms ngapi zimebakia kufikia offer zao. Sasa hii imekuwa kero.

mkuu hilo litakua ni tatizo la simu yako binafsi kwamba ule ujumbe wao unapokuja basi ukiucancell umecancell naapplications nyingine zilizopo on kwenye simu yako kwa muda huo,, kwangu mimi hua naona ujumbe ule una manufaa sana, coz unaniwezesha kujua nimetumia text ngapi, na nimebakiza ngapi,nisije kuzzidisha kipimo nikaliwa hela,, na ukishakuja ule ujumbe, naucanncell tu na kuendelea na matumizi ya simu yangu, na wala hakuna application inayojifunga
 
Tafuta multisystem phone. Ili meseji ikija unaminimize unachofanya unasoma hiyo sms.
 
Kinachonikera, ukituma text/sms wanaleta ujumbe wao ule unaosema umebakiza sms ngapi... Mimi naona bora watafute njia nyingine ya kumwonyesha mtumiaji wa simu amebakiza sms ngapi kuliko iliyopo sasa. Unakuta mtu upo busy na shuguli fulani huku unatuma sms, ujumbe wao ukitokea una-cancel kila kitu. Kama kuna mawakala wa Airtel humu wafikishe hii kero.

NB:KAMA UNAJUA JINSI YA KUFUNGIA UJUMBE HUO NIELEKEZE.

je ukipiga wavyokuletea hesabu ya na sio tatizo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom