Mkuu unaandika ukiwa mahabusu au counter?Kitendo cha watu kukamatwa kuanzia AAsubuhi mpaka jioni alafu wanakuombi ati mkuu wa kituo hayuko
Unataka kulipa fine Wanakuambia msubiri Mkuu wa kituo
Nashindwa kuwaelewa azabu ya hii kitu Wanakuambia ni kulipà faini lakini hawakupatii muongozo Wanakuambia msubirie mkuu wa operation
Naombeni msaa nifanye nini niweze kulipà hii fini niende na kazi zingine
Dereva boda boda niliyekuwa naye walimuachia ubungo mataa mimi wakanileta huku hapa tunazungushana tu.
Kama umeandikiwa unalipa unaendelea na mishe zakoKitendo cha watu kukamatwa kuanzia AAsubuhi mpaka jioni alafu wanakuombi ati mkuu wa kituo hayuko
Unataka kulipa fine Wanakuambia msubiri Mkuu wa kituo
Nashindwa kuwaelewa azabu ya hii kitu Wanakuambia ni kulipà faini lakini hawakupatii muongozo Wanakuambia msubirie mkuu wa operation
Naombeni msaa nifanye nini niweze kulipà hii fini niende na kazi zingine
Dereva boda boda niliyekuwa naye walimuachia ubungo mataa mimi wakanileta huku hapa tunazungushana tu.
Lakini polisi wa pale urafiki ni washenzi sana. Wananuka rushwa tu.
Mfuate alafu umuulizenyie polisi kwa nn njaa njaa sana