Kitu pekee kilichonishinda maishani


Mkuu hili nalo neno
 
Konichiwa Yujin......kanpai....do itashimashite.......yokoso....ila haukonpeke yako...ni mind set..hata mi nishachemka hiyo sekta...unakuwa na hofu..si mazoea....ila demu ambae unachat nae umemzoea utakula show hadi aombe poo....sayonara
Desu-ka?
 
Asante mkuu kwa swali zuri ulilomuuliza hiyo mshindwa nini sijui. Yeye alilazimishwa na nani uende huko danguro.
Aache wenye yao wafanye yeye aende na yake.
Angejua basi kwamba ya kununua haihitaji voucher, hakuna mama mgonjwa singida.
Mbaya zaidi siku hizi hakuna bibi utakula bila karatasi so as far as sex is concern they are all the same. Therefore contractual sex is the best. Tembea ujionee Remmy alisema.
 
Wanaume wenzako watakuponda kukuita mshamba hongera sana mkuu uendelee hivyohivyo


Wadada wengi tunaokutana nao sahivi wanajiuza, kama ulichompendea mwanaume ni pesa tu, huna tofauti na yule kahaba anayesimama barabarani kujiuza. Hivyo mwanaume anaenunua Malaya ambiance technically yuko sahihi kabisa Shunie
 
Unajuaje hao unaowasafirisha huwa hawajipangi barabarani?

Hakuna-ga kuuma ya bure duniani HAKUNA!
 
Nipe namba ya mkeo nimuambie ujinga unaofanyaga ukiwa safarini.
 

Basi mashine yako itakua yakupepea kama jiko lenye mkaa mbichi
 
Kweli bado tunasafari ndefu.. kwenye nchi hii bado kuna changamoto nyingi sana za kutatua ila watu wapo bize na zinaa[emoji55]
Bora uoe mkuu. maana vitabu vyote vya dini vinatuambia Tuikimbie zinaa nayo itatukimbia
Wewe uongo na kuiba umeacha? Au umeona zinaa tu ndo cha kuropoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…