Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
-
- #21
mkuu napenda kukushauri lakini sijakuelewa kwenye uzi wako unataka ushauri gani..
unasema umeshindwa kununua kabisa alaf kwa wakat huo huo unatuambia ulinunua lkin mjomba hakufanikiwa kusimama kidedea ebu tufafanuliee...
Basi ni namna ulivyojizoesha ndo maana huwezi fanya hivyoNo, huwa nahisi sipo safe tu siyo udomo zege mkuu
Mshukuru Mungu uzinzi ni laana na hasa makahaba ndio full mikosi.
Kweli bado tunasafari ndefu.. kwenye nchi hii bado kuna changamoto nyingi sana za kutatua ila watu wapo bize na zinaa[emoji55]
Bora uoe mkuu. maana vitabu vyote vya dini vinatuambia Tuikimbie zinaa nayo itatukimbia
Buku 10 ni gharama ? Akija bongo star anaetaka laki 2 utafanyaje?
So peke yako mkuu ata mm siwezi ku du na msichana nisiye mjua kiundani vizuri
ukipunguza ushamba utapunguza gharama
mbunye zote halafu usafirishe kutoka mkoani !!
kama order ya chakula ??
Bora ata ughalimie tiketi ya ndege so malayaKumbe tuko wengi
Ukioa Itapendeza sana
awa wa kutongoza wanazingua, mpaka upate mbunye , zaidi ya laki ishakutoka, njoo chamani,
Bora ata ughalimie tiketi ya ndege so malaya
Lipa kadri unavyotumia!!siwezi kutongoza mwanamke miezi sita kwa gharama ya laki sita ili tu nikafurahi kwa dakika sita!!ni heri nikonyeze kwa sekunde moja nilipe nyekundu moja nipige kimoja tuachane kimoja!Basi ukizoea kununua uwezi acha
Ni wachafu katika mapenzi
Hela yako utakayotoa
Ndio huduma utakavyopewa
Hawa wa kubembeleza miezi 6 yanini
Basi acha uzinzi, Heshimu ndoa yakoMke ninae na watoto wanne juu
Basi acha uzinzi, Heshimu ndoa yako
Ukiamua itawezekana, usipoamua basi sawaHakuna mwanamme asiyepiga moja moja, kwa hili tutadanganyana tu mkuu
Konichiwa Yujin......kanpai....do itashimashite.......yokoso....ila haukonpeke yako...ni mind set..hata mi nishachemka hiyo sekta...unakuwa na hofu..si mazoea....ila demu ambae unachat nae umemzoea utakula show hadi aombe poo....sayonaraWadau konichua,
Kuna kitu ambacho kimenishinda katika maisha yangu, labda wanamme wenzangu mtanisaidia. Siwezi kabisa kununua mwanamke anayejiuza, yaani mfnao nipite mtaani usiku nijitwalie mmoja anayejiuza barabarani nikafaidi. Hicho kitu kimenishinda kabisa, nilishawahi jaribu siku moja kwenda kwenye danguro la Sudani, Temeke pale ili kwa jinsi nilivyokuwa natetemeka hata "mzee" alishindwa kusimama.
Japokuwa kazi zangu ni za safari za mara kwa mara, basi niko radhi nifanye "importation" nimtoe bidada from mkoa mmoja kuja nilipo lakini si kununua yule wa pale barabarani hata kama ni buku 10 tu. Hii inakuwa ni gharama kidogo but naona inanifaa kuliko kununua road.
Kwa wanamme wenzangu tu.
Airigato
Kozo Okamoto
(One Star General)
Mjapani wa Kikurya
Huyo malaya mwaminifu utakayemtumia tiketi ya ndege kutoka huko aliko hadi kukufikia wewe atakuwa keshaliwa na chain ya watu si chini ya kumi kabla ya kukufikia wewe wa kumi na moja!! Halafu unamwamini hadi unauza mechi(unaloweka) then unapata ngoma na unaanza kumlaumu mungu kuwa amekuonea wewe unayezini na makahaba waaminifu na kuwaacha ma hit&run wakiwa salama! Kumbe uliukwaa kwa kahaba unayemwamini ila asiye mwaminifu kwako! Mimi sitaki mtu aniamini,na mimi simwamini mtu! Yaani ni vita ya macho kwa macho! Sitaki kudanganywa mimi!Bora ata ughalimie tiketi ya ndege so malaya