Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Kweli bado tunasafari ndefu.. kwenye nchi hii bado kuna changamoto nyingi sana za kutatua ila watu wapo bize na zinaa[emoji55]Wadau konichua,
Kuna kitu ambacho kimenishinda katika maisha yangu, labda wanamme wenzangu mtanisaidia. Siwezi kabisa kununua mwanamke anayejiuza, yaani mfnao nipite mtaani usiku nijitwalie mmoja anayejiuza barabarani nikafaidi. Hicho kitu kimenishinda kabisa, nilishawahi jaribu siku moja kwenda kwenye danguro la Sudani, Temeke pale ili kwa jinsi nilivyokuwa natetemeka hata "mzee" alishindwa kusimama.
Japokuwa kazi zangu ni za safari za mara kwa mara, basi niko radhi nifanye "importation" nimtoe bidada from mkoa mmoja kuja nilipo lakini si kununua yule wa pale barabarani hata kama ni buku 10 tu. Hii inakuwa ni gharama kidogo but naona inanifaa kuliko kununua road.
Kwa wanamme wenzangu tu.
Airigato
Kozo Okamoto
(One Star General)
Mjapani wa Kikurya
mkuu napenda kukushauri lakini sijakuelewa kwenye uzi wako unataka ushauri gani..Wadau konichua,
Kuna kitu ambacho kimenishinda katika maisha yangu, labda wanamme wenzangu mtanisaidia. Siwezi kabisa kununua mwanamke anayejiuza, yaani mfnao nipite mtaani usiku nijitwalie mmoja anayejiuza barabarani nikafaidi. Hicho kitu kimenishinda kabisa, nilishawahi jaribu siku moja kwenda kwenye danguro la Sudani, Temeke pale ili kwa jinsi nilivyokuwa natetemeka hata "mzee" alishindwa kusimama.
Japokuwa kazi zangu ni za safari za mara kwa mara, basi niko radhi nifanye "importation" nimtoe bidada from mkoa mmoja kuja nilipo lakini si kununua yule wa pale barabarani hata kama ni buku 10 tu. Hii inakuwa ni gharama kidogo but naona inanifaa kuliko kununua road.
Kwa wanamme wenzangu tu.
Airigato
Kozo Okamoto
(One Star General)
Mjapani wa Kikurya
Hapo kuna tatizo la udomo zege inaonyeaha ukikosa wale uliozoea huwezi kwa wengine kabisaWadau konichua,
Kuna kitu ambacho kimenishinda katika maisha yangu, labda wanamme wenzangu mtanisaidia. Siwezi kabisa kununua mwanamke anayejiuza, yaani mfnao nipite mtaani usiku nijitwalie mmoja anayejiuza barabarani nikafaidi. Hicho kitu kimenishinda kabisa, nilishawahi jaribu siku moja kwenda kwenye danguro la Sudani, Temeke pale ili kwa jinsi nilivyokuwa natetemeka hata "mzee" alishindwa kusimama.
Japokuwa kazi zangu ni za safari za mara kwa mara, basi niko radhi nifanye "importation" nimtoe bidada from mkoa mmoja kuja nilipo lakini si kununua yule wa pale barabarani hata kama ni buku 10 tu. Hii inakuwa ni gharama kidogo but naona inanifaa kuliko kununua road.
Kwa wanamme wenzangu tu.
Airigato
Kozo Okamoto
(One Star General)
Mjapani wa Kikurya
Mkuu kwa nini unatetemeka? Kwan unaenda kuchinjwa?Wadau konichua,

Basi ukizoea kununua uwezi acha
Ni wachafu katika mapenzi
Hela yako utakayotoa
Ndio huduma utakavyopewa
Hawa wa kubembeleza miezi 6 yanini
Mkuu kwa nini unatetemeka? Kwan unaenda kuchinjwa?
Hapo kuna tatizo la udomo zege inaonyeaha ukikosa wale uliozoea huwezi kwa wengine kabisa