KITU 'ELIMU BURE'

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,904
Reaction score
3,145
Kwa mara ya kwanza kusikia wagombea wa kiti cha uraisi mwaka 2015, wakijinadi kwa wapiga kula kuwania kiti hiko, maswali mengi yalitawala sehemu mbali mbali katika ubongo wangu baada ya kusikia wakijinadi kuhusu kutekeleza azma ya kutoa 'elimu bure' kwa watoto wa fukara.

Jambo la kushangaza ni jinsi gani suala hili linawezekana, ninachokiona leo naamini kwamba elimu haijawahi kupatikana bure hata siku moja, ujuzi ni bidhaa, daima itanunuliwa tuu.

Mazingira ya elimu bure si mazingira ya kujifunzia kwa mtoto anayetaka maarifa.

Twende, kwa kuwa kila kitu kinawezekana, huenda jambo hili tukalifanikisha baada ya dunia kushindwa.

D
 
Ukimwambia Mtanzania nakupa kitu bure walah anapata wazimu, JPM nae aliona namna gani ya kuwaingia wapenda bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…