Kitu cha Ubungo moja...

KIJOME

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
3,084
Reaction score
733
 

Attachments

  • Picture 032.jpg
    250.1 KB · Views: 174
ha ha gari moshi hilo duh, ole wako likukute njiani kwake
 
ha ha gari moshi hilo duh, ole wako likukute njiani kwake

Wala lisikuogopeshe, halina kitu. Likikukuta njiani unaligonga tu tena kirahisi muno, lenyewe huwa haligongi. Yaani linaonewa sana hli jitu, ni kubwa umbile tu lakini halina kitu. Halijawahi kugonga tangu litengenezwe
 
Hilo dude balaa,
waulizeni Sai Baba,
mpaka leo wakiliona wanasisima hata kama ni mita mia tano lazima wasimame.
 
Eti niliambiwaga mbele yanasumaku,
Ni story tu mkuu maana zamani vijana walikuwa wanaishi kwa mifano mbalimbali li wasijekufanya kitu kitakachowasababishia madhara...mfano ni ukikojoa mtoni mama yako atachukuliwa na maji au mtu akiruka mkojo wako mama yako atakatika matiti so watoto wanakuwa wanaogopa.na hili dude wametishwa kuwa lina sumaku mbele ili wasilisogelee wakae mbali...hahahaaaa
 
Reactions: Paw
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…