Kitu Baabkubwa

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
TANGAZO KWA WADAU WOTE, GARI INAUZWA, KAMA MNAVYOIONA, IKO KATIKA HALI NZURI, INATEMBEA, FULL AC, FULL MZIKI NA INA UWEZO WA KUBEBA HADI TANI 3 ZA NDIZI MBICHI. ILI KUIONA NA KUJUA BEI, FIKO ROMBO MJINI....!
 
Hiyo ngoma kweli ni bab kubwa nadhani pia fundi wa gari hiyo anapatikana rombo tu
 
Ebwana eeeh, kimekula mzigo.
 
Hivi kinatembea kweli hicho?? Duuu!
 
Hatimaye nimejikuta nacheka mwenyewe du! Bei mkuu nagpi hiyo!
 
Harafu haliko kijijini liko mjini ukiangalia barabara lami na nyumba nzuri trafic hola.
 
TANGAZO KWA WADAU WOTE, GARI INAUZWA, KAMA MNAVYOIONA, IKO KATIKA HALI NZURI, INATEMBEA, FULL AC, FULL MZIKI NA INA UWEZO WA KUBEBA HADI TANI 3 ZA NDIZI MBICHI. ILI KUIONA NA KUJUA BEI, FIKO ROMBO MJINI....!
Mkuu rombo kuna minazi naona pembeni hapo mtaani kuna miazi labda tuifanyie kazi. sijui ni machoyangu hebu tumchek Dena vip hii
 
Duh...hata trafik wataigwaya kuistopisha..kitu mwendo mdundo..unaliunga nayo hata kwenye msafara wa mkulu...ahhhaahahaha....aahahahahah
 
Mi naona hapo ni bagamoyo
 
Baada ya kufuata masharti ya kilimo kwanza jamaa kapata mazao ya kutosha anapeleka sokoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…