Kitu Azam

suregirl

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
6,056
Reaction score
198
Priii! Priii! Priii! Nimeamua kupiga filimbi na kutoa kadi nyekundu maana Azam kazidi!

TV Azam, maji Azam, juice Azam, unga Azam, malta Azam, nazi Azam, tomato paste Azam, keki Azam, biskuti Azam, ice cream Azam, maandazi Azam, chapati Azam, timu ya mpira ya Azam...

Heee, sasa tusubiri mimba za Azam, ndoa za Azam, watoto wa Azam, ukoo wa Azam na familia ya Azam! Unacheka? Shauri yako, utacheka ki Azam
 
Ahhahha sikutangazi ntakusajili kabisaaa na kadi utapata
 
Mrs. Dago

Kidogo utasikia TANZANIA azam
 
Last edited by a moderator:
Juzi kati ameshaingia kwenye maziwa ohoo!! Huyu jamaa anama idea kibao
 
Ha ha nasikia mchele azam na ugali azam unakuja
 
Hapo umeacha azam cola na Azam sembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…