Kitila Mkumbo ni mti wenye matunda

Wiston Mogha

Senior Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
168
Reaction score
141
Prof Kitila ni katika Maprof wachache walioamua kutumia taaluma yao kulisaidia taifa hili. Amediriki kupoteza nafasi nyingi za kuteuliwa ili kutetea wanyonge. Propaganda zinazoendelea kusambazwa dhidi yake ni figisufigisu za kisiasa zinazopaswa kupuuziwa. Ujinga siku zote utaaminiwa na wajinga tu.

UONGO UONGO UONGO UONGO. Prof Kitila hajafukuzwa UDASA. Hana tabia ya kulia kama sio msiba! Ni msomi mahiri na anayejielewa sio kama wasomi wengine vibaraka wa CCM!!
 

Attachments

  • 1432377111142.jpg
    36.4 KB · Views: 165
Mwacheni msomi wetu na shujaaa asiyeogopa manyunyu ipo siku fikra huru zitapata nafasi...! Heko kitila STRUGGLE IS OPTION AND PAIN IS INEVITABLE....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…