Kitila Mkumbo kutua Tabora kesho

kapya

Senior Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
153
Reaction score
54
kamanda mkumbo yupo hapa tabora na asubuhi atakuwepo chuo kikuu kishiriki cha sauti kuongea na wanachuo wa chuo hicho.
 
Hongera kamanda mkumbo, tunakuamini sana!
 
Kitila Mkumbo ni Kiongozi mahiri sana, namkubwali. Alipata asilimia 75% ya kura za wanachuo kikuu cha dar es salaam mwaka 1998 ili kuongoza DARUSO kipindi hicho. Na uongozi wake ulikuwa mahiri na bado unabaki kuwa mafano. Amewekewa mizengwe asiwe kiongozi pale chuo kikuu, lakini wanataaluma wanampenda.
Hata hivyo, ninamshangaa Kitila kitu kimoja, anaogopa nini kujiingiza kwenye siasa moja kwa moja? Dr.Kitila Mkumbo, nakuhakikishia hutakufa njaa kwa kujiingiza kwenye siasa moja kwa moja. Tunakuhitaji zaidi CHADEMA watete wananchi wako. Umri wako bado ni mdogo, wakikutimua chuo kikuu kwa sababu ya siasa, hakuna taasisi hapa ulimwenguni itakukataa, hata UN watakuchukua
 
 
Dr. Kitila,
He is too smart to practice the TZ petty politics. Nimemwwmbia narudia hapa openly achana na siasa za TZ. You will highly underutilize your capability... Subiri DR. Slaa akiwa Rais wewe uwe Katibu Mkuu Kiongozi.
 
kamanda mkumbo yupo hapa tabora na asubuhi atakuwepo chuo kikuu kishiriki cha sauti kuongea na wanachuo wa chuo hicho.

nimependa,jifunze sasa kuandika ili mtu apate content nzima ya jambo...umeniacha na shauku ya kujua mambo mengi...
 
Dr. Mkumbo ni moja kati ya wasomi mahiri sana labda aje abadilike baadae

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

kitila mkumbo ni mwanasiasa na ni mbunge mtalajiwa baada ya mwigulu michembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…