Chambou255
Member
- Feb 15, 2019
- 16
- 19
Sio kirahisi hivyoo mkuu wale Vita watakuja kivingine hapa bongo tutakimbiana wao wenyewe wanajua umuhimu wa hiyo gem na Simba
Simba inawachezaji wenye umri mkubwa, wakikutana na watu wanao kimbiza, simba wanapoteana vibaya sana. Soura walikua wana kaba kuanzia mbele kwa kasi, Soura wakipata mpira ni mbio nyingi, wame cheza kwa kasi karibu dakika 75 kweli wachezaji wetu wangeweza kucheza dk 75 kwa kasi ile? Wachezaji wa Soura karibu wote mpira unakaa mguuni, Tutawalaumu bure Wahenga wetu. Apa Nyumbani Simba uwa wanatumia Gharama kubwa sana kushinda mechi yaani mambo ya nje ya uwanja ni mengi mno.Simba kwa mara nyingine imeendelea kupata tabu ugenini kwa kupigwa 2-0 na JS Saoura.
Mechi ya mwanzo iliyopigwa taifa Simba walishinda 3-0 kupelekea Saoura kumtimua Nabil Neghiz aliyekuwa kocha mkuu.
Stori ileile ikajirudia kwa Al Ahly wakifungwa 5-0 Misri na kuondoka na ushindi wa 1-0 kwa Mchina.
Kwa matokeo hayo kundi limezidi kuwa ngumu kwa kila timu kuwa na nafasi ya kupita kutegemea kuteleza kwa wapinzani wenzao, kila timu ina mchezo mmoja Simba wakiwa na pointi 6, Al Ahly na vita wakiwa na 7 kila mmoja huku Saoura wakiwa na alama 8.
Swali la msingi, Kwa nini unadhani Simba wanakuwa na kitete ugenini na nini kifanyike
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi tunapenda Simba ishinde hapo kwa Mkapa ila hii mechi itakuwa ngumu sana maana kila mmoja ana nafasi ya kupita.
vita wana kabumbu flan la kiutu uzima.Sio kirahisi hivyoo mkuu wale Vita watakuja kivingine hapa bongo tutakimbiana wao wenyewe wanajua umuhimu wa hiyo gem na Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
kilichonishangaza tobo zilikuwa nyingi, sijui sababu ni uhenga??!Simba inawachezaji wenye umri mkubwa, wakikutana na watu wanao kimbiza, simba wanapoteana vibaya sana. Soura walikua wana kaba kuanzia mbele kwa kasi, Soura wakipata mpira ni mbio nyingi, wame cheza kwa kasi karibu dakika 75 kweli wachezaji wetu wangeweza kucheza dk 75 kwa kasi ile? Wachezaji wa Soura karibu wote mpira unakaa mguuni, Tutawalaumu bure Wahenga wetu. Apa Nyumbani Simba uwa wanatumia Gharama kubwa sana kushinda mechi yaani mambo ya nje ya uwanja ni mengi mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwauliza hilo swali Mbabane wata kurushia mawe! nazani ata Vita, Mazembe, Esperance, Zamalek nao wana vitete ugenini! yale tuliyoyaona kwa Man U na Ajax, Africa ni ngumu sana kuyashuhudia. Ila Simba wajitahidi ugenini wasifungwe zaidi ya bao 1.Simba kwa mara nyingine imeendelea kupata tabu ugenini kwa kupigwa 2-0 na JS Saoura.
Mechi ya mwanzo iliyopigwa taifa Simba walishinda 3-0 kupelekea Saoura kumtimua Nabil Neghiz aliyekuwa kocha mkuu.
Stori ileile ikajirudia kwa Al Ahly wakifungwa 5-0 Misri na kuondoka na ushindi wa 1-0 kwa Mchina.
Kwa matokeo hayo kundi limezidi kuwa ngumu kwa kila timu kuwa na nafasi ya kupita kutegemea kuteleza kwa wapinzani wenzao, kila timu ina mchezo mmoja Simba wakiwa na pointi 6, Al Ahly na vita wakiwa na 7 kila mmoja huku Saoura wakiwa na alama 8.
Swali la msingi, Kwa nini unadhani Simba wanakuwa na kitete ugenini na nini kifanyike
Sent using Jamii Forums mobile app
Away Vita kapigwa zoteVita kashinda away?
sawa.Endeleeeni kuweweseka.. Myama ndo tayari keshatinga robo. Kwenye kundi D kila timu inajilinda kwao. Huyo vita anaevaa jezi kama za vyura hachomoi taifa.