Ambao hamjui mnamuona kwenye TV mnadhani wa MAANA, sisi tuliofanya kazi chini yake NEW HABARI tunamjua jinsi alivo na ROHO mbaya, ngoja tuendelee kupambana nae alipe pesa zetu alizokula za NSSF, endeleeni kumuona ivo ivo anajidai kutetea maslahi ya wananchi MTU ambae hata PAYE ya Serikali alikua hapelekiWakuu mnyonge mnyongeni kumbe Raisi ni Msikivu kuliko tunavyoaminishwa.
Bashe ni kijana ambaye mimi binafsi huwa namsikiliza hoja zake bila kuchoka.
Bashe ni hazina ya nchi hii
Ila ndugu yangu Bashe usije ukalewa madaraka chapa kazi kwelikweli
Bashe usibadilike usitubanie pua baki Bashe yuleyule tumjuae.
View attachment 1176765
Hata kuna watu walikuwa wakimuona Mwalimu kwenye picha tu ila kuna wafanyakazi waliokua chini yake hata mshahara walikua jawauoni.Ambao hamjui mnamuona kwenye TV mnadhani wa MAANA, sisi tuliofanya kazi chini yake NEW HABARI tunamjua jinsi alivo na ROHO mbaya, ngoja tuendelee kupambana nae alipe pesa zetu alizokula za NSSF, endeleeni kumuona ivo ivo anajidai kutetea maslahi ya wananchi MTU ambae hata PAYE ya Serikali alikua hapeleki
Kabisa. Ni vigumu kuleta mabadiliko katika mfumo ambao haujakaa tayari kupokea vizuri mabadiliko.Kitakachomuangusha Bashe ni mfumo