Kitendo cha kumteua Bashe kuwa kuwa N/W kimenifanya nimpongeze kwa dhati Rais Magufuli

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
46,023
69,818
Wakuu mnyonge mnyongeni kumbe Raisi ni Msikivu kuliko tunavyoaminishwa.

Bashe ni kijana ambaye mimi binafsi huwa namsikiliza hoja zake bila kuchoka.

Bashe ni hazina ya nchi hii

Ila ndugu yangu Bashe usije ukalewa madaraka chapa kazi kwelikweli

Bashe usibadilike usitubanie pua baki Bashe yuleyule tumjuae.

downloadfile-1.jpg
 
View attachment 1176765
Ambao hamjui mnamuona kwenye TV mnadhani wa MAANA, sisi tuliofanya kazi chini yake NEW HABARI tunamjua jinsi alivo na ROHO mbaya, ngoja tuendelee kupambana nae alipe pesa zetu alizokula za NSSF, endeleeni kumuona ivo ivo anajidai kutetea maslahi ya wananchi MTU ambae hata PAYE ya Serikali alikua hapeleki
 
Hata kuna watu walikuwa wakimuona Mwalimu kwenye picha tu ila kuna wafanyakazi waliokua chini yake hata mshahara walikua jawauoni.
 
Unapaswa uangalie sababu ya uteuzi wake kwanza.

Kwa maneno mengine,ni vizuri kwanza ukapima dhamira ya huu uteuzi.

Binafsi nilishawahi shauri huyu Bashe apewa unaibu waziri kwasababu ya uwezo aliouonyesha Bungeni ila sidhani kama kateuliwa kutokana na uwezo wake ndio maana nina mtazamo tofauti na wewe.

Bashe alishabadilika kabla ya kupewe
N/Waziri labda tuseme mabadiliko ndiyo yaliompa nafasi aliyonayo
 
Chini ya mfumo Dola hawezi kufanya lolote la maana hizo wizara zote zinaendeshwa kwaajili ya maslahi ya chama kiendelee kushika madaraka
 
Akiweza kujiepusha kutomchukiza au kuingiliana majukumu na mtoto wa mfalme aliyeko Dar atapona, vinginevyo yatampata ya wale vijana wengine ambao walitaka kumdharau Prince bila kujua kuwa "nguvu ya mamba kumayi"
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom