Kitanda kinauzwa bei chee

Vitanda vilivyotumika huwa vina mikosi sana kwa sababu wamiliki huwa wanafanyia madhambi sana humo....hasa ya kulana kiboga
Mimi nilinunua kimoja nikawa nashangaa mabalaa hayaniishi mpaka nikapata shida nikakiuza na ndio ukawa mwisho wa misuko suko.....
Nikaja nikapewa habari na wazee kuwa si vyema kununua vitanda used...
 

Changanya akili ya kupewa na unachokifahamu vema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…