P PROF MUDI DULA Member Joined Oct 29, 2012 Posts 86 Reaction score 4 Jun 6, 2014 #1 Kitanda cha futi tatu na nusu kinauzwa kwa bei ya sh.30,000 tu. KASORO ZA KITANDA. Kimechakaa kidogo na hakina chaga moja. MAHALI DSM, TMK, mtaa wa Mashine ya Maji no.5, uliopo karibia na Yombo na Buza. Mawasiliano 0653422776.
Kitanda cha futi tatu na nusu kinauzwa kwa bei ya sh.30,000 tu. KASORO ZA KITANDA. Kimechakaa kidogo na hakina chaga moja. MAHALI DSM, TMK, mtaa wa Mashine ya Maji no.5, uliopo karibia na Yombo na Buza. Mawasiliano 0653422776.
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,892 Reaction score 5,084 Jun 6, 2014 #2 Mkuu kwa nin usikitoe bure kwa ndugu au kwa charity societies?
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,558 Jun 6, 2014 #3 peleka keko toroli ,watakubadilishia kwa kingine