KITAMBI NI UGONJWA...WEMBAMBA je?

kakamera

Member
Joined
Oct 30, 2016
Posts
29
Reaction score
7
Mtu anasema Ukiwa na Kitambi Ugonjwa...je wembamba?naomba jibu
 
Ulitaka kujua ni ugonjwa au siyo ugonjwa Pima urefu wako , Pima na uzito , ingiza hizi data Google kwenye calculator ya body mass index ,, hii itakutolea majibu kama uzito ulionao ni sawa kwa uwiano wa urefu na umri au la ... Veeery simple
 
Umenena vema sana.
 
Siku hizi ukienda hospitali cha kwanza ni kupima uzito na urefu kabla ya kumuona dr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…