Ukitulia vizuri kiakili una uwezo wa kutoa hoja muhimu. Tatizo mpangilio wa mawazo upo chini.Unapokuwa na kitambi maana yake ni kwamba unawaambia watu kwamba wewe huwa unakula kula kula hovyo bila kufuata mpangilio.Kwamba wewe huwa unalewa hovyo hovyo bila kuwa na kiasi.Kwamba wewe huwa hufanyi mazoezi na wala huoni umuhimu wa kufanya mazoezi.Na kama huwa unakula kula hovyo maana yake ni kwamba kichwa chako hakipo vizuri kwa sababu kichwa chako kingekuwa vizuri ungepaswa kujua kwamba kula kula hovyo kunaweza kukuletea kitambi na unene uliopitiliza na hivyo kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa hatarishi kama vile kisukari,maradhi ya moyo n.k. Tofauti kati ya mwehu na mtu mwenye kitambi ni sifuri kwa sababu wote wanakula vitu vichafu.Wakati mwehu yeye anakula jalalani, mwenye kitambi yeye ameligeuza tumbo lake kuwa jalala la kuhifadhi takataka zitokanazo na kula hovyo bila mpangilio.Binafsi huwa siamini kabisa uwezo wa kufikiri wa MTU anaekula hovyo. Imani hiyo hupungua zaidi Lindi MTU huyo anapokuwa graduate. Hata kama nilikuwa nataka kumpa deal basi Nita cancell...Kwa mfano labda Nina ishu yangu unayo hitaji mwanasheria halafu kwenye appointment akawa anakula let's say coca na chips yai amix na tomato. Nita cancel deal yangu hapo hapo kwa sababu siamini kama MTU anae ingiza uchafu tumboni mwake anafaa kuaminika kiasi hicho
Hata inzi akiacha uchafu anaweza kutengeneza asaliUnapokuwa na kitambi maana yake ni kwamba unawaambia watu kwamba wewe huwa unakula kula kula hovyo bila kufuata mpangilio.Kwamba wewe huwa unalewa hovyo hovyo bila kuwa na kiasi.
Kwamba wewe huwa hufanyi mazoezi na wala huoni umuhimu wa kufanya mazoezi.Na kama huwa unakula kula hovyo maana yake ni kwamba kichwa chako hakipo vizuri kwa sababu kichwa chako kingekuwa vizuri ungepaswa kujua kwamba kula kula hovyo kunaweza kukuletea kitambi na unene uliopitiliza na hivyo kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa hatarishi kama vile kisukari,maradhi ya moyo n.k.
Tofauti kati ya mwehu na mtu mwenye kitambi ni sifuri kwa sababu wote wanakula vitu vichafu. Wakati mwehu yeye anakula jalalani, mwenye kitambi yeye ameligeuza tumbo lake kuwa jalala la kuhifadhi takataka zitokanazo na kula hovyo bila mpangilio.Binafsi huwa siamini kabisa uwezo wa kufikiri wa MTU anaekula hovyo. Imani hiyo hupungua zaidi Lindi MTU huyo anapokuwa graduate.
Hata kama nilikuwa nataka kumpa deal basi Nita cancell...Kwa mfano labda Nina ishu yangu unayo hitaji mwanasheria halafu kwenye appointment akawa anakula let's say coca na chips yai amix na tomato. Nita cancel deal yangu hapo hapo kwa sababu siamini kama MTU anae ingiza uchafu tumboni mwake anafaa kuaminika kiasi hicho
Ukiachana na mtoa mada wewe una mtazamo gani juu ya kitambi....!!?Kuna mwenye kitambi kamfanya kitu kibaya huyu wala sio bure
Asante sana mkuu.U have spoken my mindAndiko lako lina ujumbe mzuri sana ndugu LIKUD ingawa lugha uliyoitumia kuiwasilishia ni kali sana na haina staha......
Kusema kweli changamoto na pirika pirika za kuhangaikia mkate wa kila siku inawafanya baadhi ya ndugu zetu wajisahau na kujikuta wakiwa na hali hiyo......natumaini kwa andiko utakuwa umewakumbusha na watalifanyia kazi......
NB
Kitambi ni dalili ya kuporomoka kwa afya yako na sio kuimarika kwa afya yako.......
Word is enough for the wise
Unapokuwa na kitambi maana yake ni kwamba unawaambia watu kwamba wewe huwa unakula kula kula hovyo bila kufuata mpangilio.Kwamba wewe huwa unalewa hovyo hovyo bila kuwa na kiasi.
Kwamba wewe huwa hufanyi mazoezi na wala huoni umuhimu wa kufanya mazoezi.Na kama huwa unakula kula hovyo maana yake ni kwamba kichwa chako hakipo vizuri kwa sababu kichwa chako kingekuwa vizuri ungepaswa kujua kwamba kula kula hovyo kunaweza kukuletea kitambi na unene uliopitiliza na hivyo kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa hatarishi kama vile kisukari,maradhi ya moyo n.k.
Tofauti kati ya mwehu na mtu mwenye kitambi ni sifuri kwa sababu wote wanakula vitu vichafu. Wakati mwehu yeye anakula jalalani, mwenye kitambi yeye ameligeuza tumbo lake kuwa jalala la kuhifadhi takataka zitokanazo na kula hovyo bila mpangilio.