Sure mkuu bnafsi nmenunua nalala zote hadi sasa.. Luteni njata na wenzake ni cc Godfrey Dilunga mhariri mkuu wa RAIA mwema
NiDuh kumbe tuko wengi,natumaini wahusika watasikia kilio chetu na kututendea haki mara moja.
Nmemention mhariri mkuu hapo juu labda atatupa feedbackDuh kumbe tuko wengi,natumaini wahusika watasikia kilio chetu na kututendea haki mara moja.
mimi nimesoma leo,inasisimua sana,ni kama uko pale,haya mambo ifike wakati sasa hata watu kuandaliwa documentaries hivi,mambo ya kwetu yanasahaulika sana,ya kishujaa etc etc..Heshima sana wanajamvi,
Gazeti la Raia mwema limekuwa likichapisha makala ya Kachero wa jeshi la wananchi (JWTZ) aliyetekwa Uganda pamoja na wanajeshi wengine wawili ambao waliuwawa na majasusi wa Idd Amin kabla ya vita vya Kagera.
Nimekuwa nikifuatailia sana makala hizo kila Jumatano gazeti la Raia Mwema linapotolewa bahati mbaya kila nikimaliza kusoma naachwa na kiu kubwa kiasi naomba siku ziende haraka ili niweze kusoma makala zingine.
Natoa rai kwa wachapishaji wa gazeti la Raia Mwema kutuelekeza wapi tunaweza kupata nakala ya kitabu badala ya kuendelea kututesa na kutuacha na kiu isiyokuwa na sababu za msingi.
Nawasilisha.
Yaan mkuu unataka Ray Kigosi ndo aigize kipande hiko unaxan ataeza kweli, ukimwambia ateswe kimuvi muvi unazan anajua basimimi nimesoma leo,inasisimua sana,ni kama uko pale,haya mambo ifike wakati sasa hata watu kuandaliwa documentaries hivi,mambo ya kwetu yanasahaulika sana,ya kishujaa etc etc..
ehehe documentary si lazima awe kigosi,kwa kutumia kitabu tu,characters unawapata watu wengi wanaoendana na hali halisi,cha msingi sisi tunasahau sana kukumbuka michango ya wazee wetu kwa style ya kileo,vita ya kagera unaweza pata hata documentaries kibao,kwa matukio kadha wa kadha,mfano mzuri rwanda genocide,wana movies,ingawaje zilitengenezwa na wazungu,nyingine mnaweza kutengeneza kupitia kwa watu wenu,kwa stories tu za walioshiriki kwa namna moja ama nyingine,ubunifu tuYaan mkuu unataka Ray Kigosi ndo aigize kipande hiko unaxan ataeza kweli, ukimwambia ateswe kimuvi muvi unazan anajua basi
mimi nimesoma leo,inasisimua sana,ni kama uko pale,haya mambo ifike wakati sasa hata watu kuandaliwa documentaries hivi,mambo ya kwetu yanasahaulika sana,ya kishujaa etc etc..
Mkuu hawa ndio mashujaa wa kuenziwamimi nimesoma leo,inasisimua sana,ni kama uko pale,haya mambo ifike wakati sasa hata watu kuandaliwa documentaries hivi,mambo ya kwetu yanasahaulika sana,ya kishujaa etc etc..
Remote,
Nami nimeona katika gazeti.
Sina taarifa zaidi.
Kesho nitatembelea maduka ya vitabu Dar es salaam nikikipata nitawapa taarifa.
Wale maaskari walipata mateso makali sana na yule luteni atakuwa ni komandoo.
Simulizi inasisimua sana.
anzia makala ya kwanza kabsa u one utamu wakemimi nimesoma leo,inasisimua sana,ni kama uko pale,haya mambo ifike wakati sasa hata watu kuandaliwa documentaries hivi,mambo ya kwetu yanasahaulika sana,ya kishujaa etc etc..