Kuna haja ya elimu yetu kufundishwa kwa kutumia lugha moja kuanzia elimu ya awali mpaka elimu ya juu. Mtoto shule msingi anafundishiswa kuhusu kitu fulani akifika sekondari lugha inabadilika pengine unakuta anavhofundishwa ni kile kile alichofundishwa shule ya msingi, ila huku kinakuwa kigumu kukielewa sababu ya changamoto ya lugha anaishia kukariri.