E eedoh05 JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 632 Reaction score 237 Jun 25, 2013 #1 Kuna watu wengi, kama mimi wana visimbusi vya GTV. Je, wadau hivi hakuna namna yoyote ya kuvitumia visimbusi hivi kwa mazingira na miundombinu ya ki-tanzania kwa sasa? Msaada pliz!
Kuna watu wengi, kama mimi wana visimbusi vya GTV. Je, wadau hivi hakuna namna yoyote ya kuvitumia visimbusi hivi kwa mazingira na miundombinu ya ki-tanzania kwa sasa? Msaada pliz!
chelsea fc JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 864 Reaction score 213 Jun 25, 2013 #2 imekula kwako yaani imemega pakubwa!