Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jan 5, 2014 #41 isaya mwasetuka said: Kwa hvy compressor n mganga wa kienyeji maana kila muokoaj alishindandwa hata catapila ya wachna ilikwama Click to expand... Nilikuwepo eneo la tukio siku hiyo ishu ilipotokea, hakuna ajabu yoyote pale ni ajali tu ya kawaida.
isaya mwasetuka said: Kwa hvy compressor n mganga wa kienyeji maana kila muokoaj alishindandwa hata catapila ya wachna ilikwama Click to expand... Nilikuwepo eneo la tukio siku hiyo ishu ilipotokea, hakuna ajabu yoyote pale ni ajali tu ya kawaida.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jan 5, 2014 #42 kilambalambila said: waacheni sumbawanga waitwe sumba-wanga. Wanafikiria kiwanga wanga tu Click to expand... unataka kupigwa nadhani......hujui tumeruhusiwa na Pinda.
kilambalambila said: waacheni sumbawanga waitwe sumba-wanga. Wanafikiria kiwanga wanga tu Click to expand... unataka kupigwa nadhani......hujui tumeruhusiwa na Pinda.
SOCIOLOGISTTZ JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 2,615 Reaction score 929 Jan 5, 2014 #43 bategereza said: Uchawi si lolote si chochote. mtu akikosa scientific explanation anasingizia uchawi. huu ni ufinyu wa akili. Ungekuwapo uchwi ccm wangefanikiwa katika kuiondoa CHADEMA. maana CDM kinawanyima kina Lukuvi na mwigulu usingizi kweli Click to expand... tehe! tehe! tehe! .......inafurahisha kweli hii
bategereza said: Uchawi si lolote si chochote. mtu akikosa scientific explanation anasingizia uchawi. huu ni ufinyu wa akili. Ungekuwapo uchwi ccm wangefanikiwa katika kuiondoa CHADEMA. maana CDM kinawanyima kina Lukuvi na mwigulu usingizi kweli Click to expand... tehe! tehe! tehe! .......inafurahisha kweli hii