hii itakuwa ni hatua nzuri sana kwa walimu kama watajifunza kuzitumia vizuri. Pia wizara nayo iendeshe mambo yake kwa e-governance, maana wan report nyingi sana za kujaza kila mwezi, kila muhula , mwisho wa mwaka kuzipeleka panapohusika, hii sasa ifanyike online. lakini pia walimu wanazweza kujifunza mambo mengi ya kielimu kupitia mtandao kwa mfano kupitia Khan academy n.k