Kishindo cha Mbowe Magu

chadema kila mnalolifanya ni ujinga mtupu, kiufupi nyie ndio mnavuta shati nyuma kwenye mbio za uchumi bora kwa taifa
Wee chawa nimekupinga cz hujibu hoja ya msingi!! Jijengeeni utaratib wa kujibu hoja!! NB; Kila anaewapinga sio hao CDM tupo watanzania wengi tunapinga mamb yenu ya hovyo!!
 
Jinga kbs mwatex nguo zao nazijua walizokua wanazalisha since 80's mutex na kilitex arusha najua mpaka kiwandan nishaingia kweny uzalishaj!! Yaan vihela vya kula mnavyopewa vimewaharibu ubongo mazima!!
Hizo ni generies za Kutengeneza nyuzi tuu hakuna nguo ilikuwa inazaloshwa hapo
 
Taifa la wavaa Mitumba na Madela ( Madila?)😀😀
 
Hivi vitu vilikuwepo kwanini havipo sasa.Jibu rahisi ni ufisadi mkubwa uliofanywa au kutendwa na CCM.

Fikiria General ilikuwepo wakati idadi ya magari ilikuwa ndogo.Leo idadi ya magari imeongezeka kiwanda kimekufa.

Fikiria viwanda vya nguo vilikuwepo wakati idadi ya watanzania ilikuwa 8 million to 12 million.Leo tuko 61 million viwanda vimekufa !.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…