Kishindo cha Mbowe Magu

Wala sitetei ccm ila Huwa sipendi uongo yaani kuwafanya wasiojua ngazi zenu,nyie machadomo nawafahamu vizuri sana nimewahi kuwepo huko kabla ya kugundua ni wapiga Dili tuu.
makuwadi ya warabu upepo umekata, mwambieni mamayenu arudishe hela alizohongwa na hayo marabu koko kabla hazijamtokea puani.
 
Huyu mwamba ataua watu kwa presha
 
Afadhali...!
Haya ndio mambo tunayotaka kusikia toka kwa chama mbadala.

Story na blah blah za kumhuhusu marehemu ambazo huwezi kuzihoji mahakamani ni kuachana nazo.
 
Afadhali...!
Haya ndio mambo tunayotaka kusikia toka kwa chama mbadala.

Story na blah blah za kumhuhusu marehemu ambazo huwezi kuzihoji mahakamani ni kuachana nazo.
Wewe unamhurumia tu magufuli lkn ameacha madhara makubwa kwenye nchi. Kumsema ni kuwakumbusha walio hai wasifanye makosa kama yale
 
Huoni hata fact iliyopo ya kua mmeua viwanda vingi san nchini kwa maslah binafsi? Hili halihitaji kukaza fuvu, poshoman kbs!!
 
Hakuna kitu ,Mimi Huwa sishikiwi akili,fikiria kwanza sio unaongea vitu cheap tuu.

Kwanza machadomo yakishika Nchi yanaweza vuruga mambo kama Ruto maana mihemko na kukurupuka kumezidi kwamba unadhani ni kupiga tuu marufuku au siyo? 😂😂
Tha weakest facts ❌!!
 
Hasa hili la kuua viwanda sielew CCM wanania gan na Taifa la Tanzania hakyan ni vitu haviingii akilin!!!
 
Natofautiana nawe kwa mengi, lakini kwa hili mbowe inaonekana haijui hali halisi ya wananchi.

Anawaza sawa na kina kinana wanavyowaza, sioni ni vipi anaweza kutukomboa tukiwapa madaraka.
 
Kwa nini wafanyabiashara wasilete hizo nguo Mpya za elfu 2 kutoka Kwa Mchina?
 
Wananchi wamekuja wenyewe kusikiliza sera za maana!
Hawajabebwa kwa mafuso au matrekta toka makwao!
Hii ndio CDM chama cha Wazalendo wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…