Hii ndiyo Kenya tunayoifahamu, nchi ya watu wenye roho za kinyama sana
Suala la albino nilekua historia huku kwetu, kwasababu hamna hoja, mumebaki kushikilia kitu kilichokwisha muda wake, vipi ninyi mlivyouwa watu ndani ya makanisa 2007, hata Mungu hamumuugopi, huo ni unyama na ushenzi uliopitiliza, Kenya na Rwanda ni nchi pekee duniani zisizojali na kuheshimu Mungu na nyumba za ibada, kwao kuuwa watu ni muhimu zaidi ya MunguVipi wale mnawanyonga na kuwafunga kwa mawe na kuwatosa ziwani, nyie wala albino mna nini kipya cha kuongea kuhusu roho mbaya.
Kenya!!!! Mnatisha sana Mkuu. Kama mkurugenzi wa tume aliuawa kiurahisi vile, basi waliobaki ni cha mtoto. Kuna watu hawana huruma Kenya hadi ajabu. Ujambazi uliotukuka uko Kenya. Utapeli wa viwango vya kimataifa uko Kenya. Roho mbaya kwa ujumla, Kenya inaongoza Afrika Mashariki. Kenya ndo iliyovunja jumuiya ya awali ya Afrika Mashariki (wewe ulikuwa hujazaliwa).Vipi wale mnawanyonga na kuwafunga kwa mawe na kuwatosa ziwani, nyie wala albino mna nini kipya cha kuongea kuhusu roho mbaya.
These are the 12 most dangerous countries in the worldVipi wale mnawanyonga na kuwafunga kwa mawe na kuwatosa ziwani, nyie wala albino mna nini kipya cha kuongea kuhusu roho mbaya.
Kwa maana hiyo zote zilizo chini ya Tz zina amani kuzidi TZ, naanza kuamni kale ka msemo ka kisiwa cha amani kanaanza kupitwa na makanzaMost dangerous countries in the world 2017 – ranked
Angalia hii orodha ya kidunia, mpo namba 39, wakati Tanzania ipo 110, bado mnajilinganisha na nchi teule ya Tanzania, funga mdomo wako Tanzania ni nchi ya maziwa na asali, ila karibu sana uje upige pesa, kwanini usihamia kabisa Tanzania?
Suala la albino nilekua historia huku kwetu, kwasababu hamna hoja, mumebaki kushikilia kitu kilichokwisha muda wake, vipi ninyi mlivyouwa watu ndani ya makanisa 2007, hata Mungu hamumuugopi, huo ni unyama na ushenzi uliopitiliza, Kenya na Rwanda ni nchi pekee duniani zisizojali na kuheshimu Mungu na nyumba za ibada, kwao kuuwa watu ni muhimu zaidi ya Mungu
Ujaribu kutofautisha kati ya epidemic na endemic, Tanzania tukio kama hilo la waliouliwa huko ziwani ni epidemic kwetu, tunashangaa na mkuu wa polisi anawajibika kutoa maelezo, ila huko Kenya, hata watu wakiuliwa ishirini kwa siku bado ni endemic, mnaona ni jambo la kawaida, lipo ndani ya acceptable standards, kila siku unasikia mke au mume kamuua mpenzi wake, mara school shootings, mara yule mwalimu toka Australia amepigwa risasi barabarani, mara shule zimechomwa moto wanafunzi wameuliwa na mwanafinzi mwenzao, mara walinzi wa kanisa wameuliwa huko Mombasa na silaha zao kuchukuliwa, msikilize huyu bint anavyolalamika kwamba nusu ya Kenya huko kaskazini ni mauaji tu yanayoendelea
Bably Sherman
Maendeleo maana yake ni kupiga hatua kwa kubadili hali uliyokuwepo jana ili ile hali ya leo na kesho iwe bora zaidi, kila nchi ina matatizo duniani, lakini lazima nchi hizo zifanye juhudi ya kupunguza hayo matatizo na matokeo yake yaonekane, hapo ndipo kwenye utofauti kati ya Kenya na Tanzania, huku Tanzania kukitokea tatizo, kwa sehemu kubwa serikali inajitahidi na baada ya muda hilo tatizo linapunguzwa au kumalizwa kabisa, mifano ipo mingi tu, panya road, ujambazi wa kutisha wa kuiba Benk na kuteka magari, mauaji ya albino, ulipuaji mabomu makanisani kule Arusha, mauaji ya Tanga na Kibiti, mauji katika mikoa ya Kigoma, karibu vyote vimedhibitiwa, japo kunatokea mapya lakini haraka sana serikali inaingilia kati, kwa wenzetu wa Kenya mambo ni tofauti kabisa, kila siku hali inazidi kuwa mbaya katika kila eneo, ndiyo sababu kila siku Kenya inaporomoka katika viwango vya kimataifaNdugu zangu joto la jiwe na MK254 nafikiri tukiweka mbali mambo mengine haya mambo sio mazuri iwe ni Kenya au Tanzania. Hata huku kwetu mbona kuna watoto walitekwa na watekaji wakadai kiwango cha pesa? wengine si waliuawa? Matukio ya miili kuokotwa baharini, ziwani, watu kupotea, kupigwa risasi n.k bado tu tunaona TZ tuko salama na kuthubutu kusema wakenya wana roho mbaya?
Hivi vitendo ni vya kulaani na kukemewa kabisa. Thamani ya binadamu mmoja ni kubwa mmno. Uhai wake haulinganishwi na chochote. Bila kujali tukio limehusisha watu wangapi, kama limeondoa uhai wa mtu sio la kufumbiwa mamcho.
Bora mjadala ujikite kwenye kutokomeza na kulaani kuliko kuangalia unafuu wa tatizo, wauwaji wanaojiita wasiojulikana hawana ahueni yeyote.
Kwahiyo hata hizo nchi zingine zilizowapiteni pia media haziwafikii, nchi lenu ni one among the dangerous countries in the World, dunia nzima inajua hivyo, ila karibu Tanzania, je Uganda inayotumia English, mbona imewapita?Haya ma-insha yako nilikuambia huwa siyasomi wakati unapindisha pindisha, ukweli wa mambo uchinjaji upo kwenu balaa, miili ya watu inaokotwa kwenye fukwe, mara imetiwa kwenye viroba na kutupwa ndani mito, tatizo ni kwamba kwenu media za kimataifa huwa haziwaanikii sana, nafikiri ni kwasababu mumejificha kwenye Kiswahili.
Ndugu zangu joto la jiwe na MK254 nafikiri tukiweka mbali mambo mengine haya mambo sio mazuri iwe ni Kenya au Tanzania. Hata huku kwetu mbona kuna watoto walitekwa na watekaji wakadai kiwango cha pesa? wengine si waliuawa? Matukio ya miili kuokotwa baharini, ziwani, watu kupotea, kupigwa risasi n.k bado tu tunaona TZ tuko salama na kuthubutu kusema wakenya wana roho mbaya?
Hivi vitendo ni vya kulaani na kukemewa kabisa. Thamani ya binadamu mmoja ni kubwa mmno. Uhai wake haulinganishwi na chochote. Bila kujali tukio limehusisha watu wangapi, kama limeondoa uhai wa mtu sio la kufumbiwa mamcho.
Bora mjadala ujikite kwenye kutokomeza na kulaani kuliko kuangalia unafuu wa tatizo, wauwaji wanaojiita wasiojulikana hawana ahueni yeyote.
Mohammed Ahmed AlfayedBora umeisema wewe, humu kuna wanaafiki wapo kikazi zaidi, wameweka simu zao zinategeshea taarifa zozote kuhusu Kenya watatiririka na kukeshea.
Mimi nilisoma hizi taarifa kwenye magazeti zikanihuzunisha sana, nilipoona zimeletwa JF nikawa na nia ya kuja kukemea ila nikakuta jamaa wa ligi tayari wameshatafuta viti na kukaa kabisa, na kuanza kusifia Tanzania, yaani Tanzania moja ninayoifahamu, ile ambayo leo hii tunauguza kiongozi wake wa upinzani baada ya kupigwa risasi 38, hakupelekwa Msumbiji, Afrika Kusini, Botswana, ila aliletwa hapa kwetu.
Wewe unajisemea tuu kuna unyama zaidi ya kuokota watu kwenye viroba coco beachHii ndiyo Kenya tunayoifahamu, nchi ya watu wenye roho za kinyama sana
Hiyo rank imechangiwa pakubwa na alshaabab toka Somalia !Kwahiyo hata hizo nchi zingine zilizowapiteni pia media haziwafikii, nchi lenu ni one among the dangerous countries in the World, dunia nzima inajua hivyo, ila karibu Tanzania, je Uganda inayotumia English, mbona imewapita?
Wewe ndiyo unasema hivyo, lakini dunia nzima inaona vile ninavoona mimi, ndiyo sababu Kenya inaongoza Afrika katika mauaji ya kiholela, na duniani imeshika nafasi ya 39, na Tanzania 110, sasa wewe unapingana na dunia nzima?Wewe unajisemea tuu kuna unyama zaidi ya kuokota watu kwenye viroba coco beach
Hiyo rank imechangiwa pakubwa na alshaabab toka Somalia !
Jiongeze mkuu au siku moja tembelea kenya ndio utajua Tz ni salama sana... hayo matukio machache yasikufanye utulinganishe na KenyaNdugu zangu joto la jiwe na MK254 nafikiri tukiweka mbali mambo mengine haya mambo sio mazuri iwe ni Kenya au Tanzania. Hata huku kwetu mbona kuna watoto walitekwa na watekaji wakadai kiwango cha pesa? wengine si waliuawa? Matukio ya miili kuokotwa baharini, ziwani, watu kupotea, kupigwa risasi n.k bado tu tunaona TZ tuko salama na kuthubutu kusema wakenya wana roho mbaya?
Hivi vitendo ni vya kulaani na kukemewa kabisa. Thamani ya binadamu mmoja ni kubwa mmno. Uhai wake haulinganishwi na chochote. Bila kujali tukio limehusisha watu wangapi, kama limeondoa uhai wa mtu sio la kufumbiwa mamcho.
Bora mjadala ujikite kwenye kutokomeza na kulaani kuliko kuangalia unafuu wa tatizo, wauwaji wanaojiita wasiojulikana hawana ahueni yeyote.
We nyang'au kuwa mkweli, suala la usalama kenya ni tatizoHaya ma-insha yako nilikuambia huwa siyasomi wakati unapindisha pindisha, ukweli wa mambo uchinjaji upo kwenu balaa, miili ya watu inaokotwa kwenye fukwe, mara imetiwa kwenye viroba na kutupwa ndani mito, tatizo ni kwamba kwenu media za kimataifa huwa haziwaanikii sana, nafikiri ni kwasababu mumejificha kwenye Kiswahili.