Kisa cha Mr. Abdul na bi Sandra, my scenario

Bi mkubwa anazengua.
 
Bila hayo yote na mengine huyajui usidhani dogo nyota itaendelea kuwaka, acheni tu haya mambo yasiwe wazi.

That's unaweza kutamka ule msemo mnautumia sana siku hizi, 'DUNIA SIMAMA NISHUKE'
 
Ndo imeisha?
 
Hahha.
Mzee malizia bandiko lako basi. Halafu ujue wewe ni muandishi mzuri sana ndio maana watu wanakumind
Ntamalizia weekend mkuu tatizo watu watakua home na wengi hawana bando, wataisoma Monday kazini
 
Subiri hadithi ndefu sana na kazi lazima zifanyike pia tukikaa hapa kuandika tu nani atalisha watoto.
Tunatafuta pesa,mbongo,pakee hiki kiburudisho tu hulipii.
Mbona povu sasa? Ukijibu bado inatosha. Au sio?
 
Sema mzee unaonekana bata kitambo umeanza bana, vipi bado moto uleule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…