Habari za mda huu wana ndugu kwa mwenye kujua naomba mniambie kirefu cha FFU ni mara nyingi nimekuwa nikisoma kwenye magari ya polisi .... maana hata sielewi
Habari za mda huu wana ndugu kwa mwenye kujua naomba mniambie kirefu cha FFU ni mara nyingi nimekuwa nikisoma kwenye magari ya polisi ....maana hata sielewi
Hao ni wavuta bangi maarufu kwa jina la polisi wa kutuliza ghasia. Mara nyingi huamini wapo juu ya sheria.
Ila daima ujanja wao wakiwa wengi tu. Ukimkuta mmoja huwa wachumba tu.