M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,557 Reaction score 24,182 Oct 4, 2019 #1 Muda mfupi uliopita Mwanariadha matata sana wa Kenya CONSESLUS KIPRUTO ameshinda GOLD MEDAL (MEDALI YA DHAHABU) katika mbio za mita 3000 kwenye mashindano ya riadha ulimwenguni yanayoendelea pale Doha, Qatar. Hongera kwa KIPRUTO...Hongera kwa KENYA.
Muda mfupi uliopita Mwanariadha matata sana wa Kenya CONSESLUS KIPRUTO ameshinda GOLD MEDAL (MEDALI YA DHAHABU) katika mbio za mita 3000 kwenye mashindano ya riadha ulimwenguni yanayoendelea pale Doha, Qatar. Hongera kwa KIPRUTO...Hongera kwa KENYA.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,628 Reaction score 197,285 Oct 4, 2019 #2 Hongera zake sana... inapendeza... Cc: mahondaw
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,930 Reaction score 46,278 Oct 4, 2019 #3 Hivi Serikali ya Hapa Kazi tu imepeleka wawakilishi wa nchi yetu huko Qatar? Maana sisikii wameshida walau medali shaba. cc. Dr. Mwakyembe
Hivi Serikali ya Hapa Kazi tu imepeleka wawakilishi wa nchi yetu huko Qatar? Maana sisikii wameshida walau medali shaba. cc. Dr. Mwakyembe
Naxvegas254 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2019 Posts 542 Reaction score 316 Oct 4, 2019 #4 Usigate simu naenda steeplechase πππ
Gwizzy JF-Expert Member Joined Nov 5, 2018 Posts 640 Reaction score 890 Oct 5, 2019 #5 that was as close as it come ...... 254 to the world !!!!
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,575 Reaction score 53,613 Oct 5, 2019 #6 Gwizzy said: that was as close as it come ...... 254 to the world !!!! Click to expand... That was close...exhilarating
Gwizzy said: that was as close as it come ...... 254 to the world !!!! Click to expand... That was close...exhilarating
Arnold254 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2018 Posts 4,083 Reaction score 2,685 Oct 5, 2019 #7 Current standings [emoji1548][emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139]
Arnold254 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2018 Posts 4,083 Reaction score 2,685 Oct 6, 2019 #8 Updates