Fatma Bawazir JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 491 Reaction score 180 Feb 21, 2012 #1 Mume alimkuta Mkewe anaangalia kipindi cha Mapishi akamwambia mkewe Unapenda kuangalia Kipindi cha mapishi halafu kupika haujuwi. Mke akamjibu Mumewe we unavyoangalia picha za X mbona na ww ku xxx haujuwi mi sijasema kitu.
Mume alimkuta Mkewe anaangalia kipindi cha Mapishi akamwambia mkewe Unapenda kuangalia Kipindi cha mapishi halafu kupika haujuwi. Mke akamjibu Mumewe we unavyoangalia picha za X mbona na ww ku xxx haujuwi mi sijasema kitu.
DEVINE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 536 Reaction score 87 Feb 21, 2012 #2 Ngoma droo tupa nikutupie tehe tehe tehe