Kipimo ndani ya uchumba


mkuu si kweli, na urafiki ndo kila kitu mtu mwenye mkweli utamjua na anyekugizia hapo utamjua!

kama ni mtaka ndoa atajulikana na kama ni mjali utu kwanza atajulikana coz ukisema umuonyeshee ndoa kwanza atakuigizia kila kitu coz anataka ndoa!!!

urafiki ndo kitu kizur sana!!
 

usivurugike aisee! Mkabidhi Mungu hitaji lako!!
 

msema kweli mpnz wa Mungu!!
umenena vyema!!
halafu unamsoma na mtu unampeleka vile atakavyo yeye!!!
ila baadae sasa tobaaaaaaa!! Mungu turehemu waja wako aiseeee
 
wewe ulifanya hivyo?ulivyowekwa ndani ndo ulimuonesha rangi zote?
Sikua nasababu yakufanya hivyo kwani nilimpenda ndani ya roho yangu na daima ntampenda,yeye ni rafiki yangu,mshuri wangu,mumewangu,na Dad wa watoto wangu,mwenyezi mungu ampe uzima na uhai mrefu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…