Kipima Joto : Leo ITV

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,817
Reaction score
29,484
Wanasiasa wanaotafuta kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi.


Je, wanatoa nafasi za kutosha kwa wapiga kura kupima uwezo na udhaifu wao?
 
wananchi tunachukua muda mwingi kuwajua hada awa wagpmbea waliokaa kiwizi wizi wa cvm
 
tutawajua saa ngapi wakati wanaibuka tu, utasikia mimi ni docta,nessi,enjinia,proffesa wezenu topu huku kijijini ni shamba tu labda kaeducation kapite
 
Mtatiro ni Islamic?
Mbona ana singida?
 
Wanasiasa wanaotafuta kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi.


Je, wanatoa nafasi za kutosha kwa wapiga kura kupima uwezo na udhaifu wao?

Kwenye siasa hakuna SWOT analysis, kama ingelikuwa inafanyika Kikwete asingefaa hata kuwa balozi wa nyumba kumi
 
hivi mgombea wa mfukoni anakubalika?Magufuli ni mgombea wa mfukoni mwa kikwete hatumtaki
 
Prof. Bana anaichana ccm kwa kukiuka kanuni...
 
Magufuli katolewa mfukoni ile papu huyo hapo, mtu atakae tuongoza miaka 5 tunakurupushwa naye tu. Haifai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…