Ilikua Makongo enzi hizo nipo kidato cha 3, tulikua shift ya asubuhi siku hiyo, Kuna mwana mmoja alikuja na simu yake ya kitochi sasa wakat pindi linaendelea simu ya jamaa ikaingia meseji ikalia kwa sauti..
Ticha wa discipline Malongoli a.k.a Kenyaman alikua anapita dirishani si akaisikia ile simu bwana.. Weeeh, akaingia class akauliza mwenye simu atoke nje mwenyewee, watu kimyaa.. Akaamuru tuliokaa upande wa dirishani wote njee
Tulichezea stiki Mungu anajua daah, full kichura chura push ups kama zote.. Raia walivyoona mateso yamezidi wakamchoma jamaa mwenye simu [emoji3][emoji3][emoji3]
silent_ocean
Sitasahau Magadu Morogoro kambi ya Jeshi,kipindi hicho nasoma kulikua kunafanyika Mr/Miss Mzumbe ilifanyika kwenye ukumbi wao pale jeshini!
Nipo zangu vyombo vya kutosha basi nikazinguana na mjeda baada yakunikanyaga bahati mbaya,hatukujua kama ni mjeda tukaanza kumzingua hatujakaa vizuri wakaja wenzake kumsaidia wamepiga gwanda,wakatubeba juu juu mpaka nje ya ukumbi kwenye kauwanja hivi,tulichezea kichapo na mazoezi yakutosha,pombe zote zikakata!
Kuna mwezangu akajifanya kama amekufa wakati wanamuangalia nikapata upenyo nikaanza kukimbia,jamaa mmoja akaniungia,nilikua nakimbia kwa kasi sana yeye anakuja mdogo mdogo tu kufika mbele kidogo nikakutana na wenzake walikua wanarudi kambini wakanikamata na yeye akawa amefika,wakaanza kunipa kichapo tena na mazoezi ya kutosha kuruka kichura kurudi kambini
Walinitesa sana wale mafala!
"O" position ilipona kweli?Sitasahau Magadu Morogoro kambi ya Jeshi,kipindi hicho nasoma kulikua kunafanyika Mr/Miss Mzumbe ilifanyika kwenye ukumbi wao pale jeshini!
Nipo zangu vyombo vya kutosha basi nikazinguana na mjeda baada yakunikanyaga bahati mbaya,hatukujua kama ni mjeda tukaanza kumzingua hatujakaa vizuri wakaja wenzake kumsaidia wamepiga gwanda,wakatubeba juu juu mpaka nje ya ukumbi kwenye kauwanja hivi,tulichezea kichapo na mazoezi yakutosha,pombe zote zikakata!
Kuna mwezangu akajifanya kama amekufa wakati wanamuangalia nikapata upenyo nikaanza kukimbia,jamaa mmoja akaniungia,nilikua nakimbia kwa kasi sana yeye anakuja mdogo mdogo tu kufika mbele kidogo nikakutana na wenzake walikua wanarudi kambini wakanikamata na yeye akawa amefika,wakaanza kunipa kichapo tena na mazoezi ya kutosha kuruka kichura kurudi kambini
Walinitesa sana wale mafala!
Mzee umesoma pale makongo mwaka gani? Huyu ticha alikuwa balaa alikuwa anatupiga pindi la additional mathematics S4 haelewi full kutumezeshaIlikua Makongo enzi hizo nipo kidato cha 3, tulikua shift ya asubuhi siku hiyo, Kuna mwana mmoja alikuja na simu yake ya kitochi sasa wakat pindi linaendelea simu ya jamaa ikaingia meseji ikalia kwa sauti..
Ticha wa discipline Malongoli a.k.a Kenyaman alikua anapita dirishani si akaisikia ile simu bwana.. Weeeh, akaingia class akauliza mwenye simu atoke nje mwenyewee, watu kimyaa.. Akaamuru tuliokaa upande wa dirishani wote njee
Tulichezea stiki Mungu anajua daah, full kichura chura push ups kama zote.. Raia walivyoona mateso yamezidi wakamchoma jamaa mwenye simu [emoji3][emoji3][emoji3]
silent_ocean
Mzee umesoma pale makongo mwaka gani? Huyu ticha alikuwa balaa alikuwa anatupiga pindi la additional mathematics S4 haelewi full kutumezesha
Ooooh kumbe juzi hapa mkuu, ile makongo haina wakorofi Kama wa miaka ya nyuma nowdays2010 mkuu [emoji3]
silent_ocean
Baadae unieleezee vizuri sijamaliza kusoma!!Sitasahau Magadu Morogoro kambi ya Jeshi,kipindi hicho nasoma kulikua kunafanyika Mr/Miss Mzumbe ilifanyika kwenye ukumbi wao pale jeshini!
Nipo zangu vyombo vya kutosha basi nikazinguana na mjeda baada yakunikanyaga bahati mbaya,hatukujua kama ni mjeda tukaanza kumzingua hatujakaa vizuri wakaja wenzake kumsaidia wamepiga gwanda,wakatubeba juu juu mpaka nje ya ukumbi kwenye kauwanja hivi,tulichezea kichapo na mazoezi yakutosha,pombe zote zikakata!
Kuna mwezangu akajifanya kama amekufa wakati wanamuangalia nikapata upenyo nikaanza kukimbia,jamaa mmoja akaniungia,nilikua nakimbia kwa kasi sana yeye anakuja mdogo mdogo tu kufika mbele kidogo nikakutana na wenzake walikua wanarudi kambini wakanikamata na yeye akawa amefika,wakaanza kunipa kichapo tena na mazoezi ya kutosha kuruka kichura kurudi kambini
Walinitesa sana wale mafala!
HahahahaBaadae unieleezee vizuri sijamaliza kusoma!!
EwaaaaaHahahaha
Nimekutumia kavideo kabisa nikilielezea tukio kwa ufasaha kabisa!
Sehem gani Mkuu?Ngokolo,Ndala/Upongoji,Mwasele,Buhangija,Ndembezi,Lubaga au?zamani hiyo kitaa nilikua misele night siku ya mwaka mpya wahuni wakanisimamisha wakataka kunivua shoes moja kali sana nikagoma kaugomvi ka ajabu kaakanza walikua watatu mkono wa kufa mtu ukatembea pale sema nilikua peke yangu dah nilichoka wakanipa kipigo kikali sana na shoes wakachukua nikarudi home damu kama zote nafika mshua ananicheki vip nikamsimulia dah mzee hasira zilimpanda kinyama akaingia ndani then akatoka aniambia twende mhuni mmoja nilikua nampata sema bi mkubwa akamzuia akasema tutawatafuta kesho yake mzee akaniambia nikalale duh! bila hata ya dawa moro asubuhi kama sa tatu mzee kaniamsha ninamaumivi kinyama tukaongozana mpaka masikani kufika wahuni wote kimya kumbe kipindi wananipiga hawakujua kama mm ndo mtoto wa mshua weeeeeeee heeee mshua hajaanza hata kuongea jamaa amepiga magoti anaomba msamaha alipigwa vifuti kama vitatu chapu niliona tu nguo ya mzee imekua nyekundu kwenye goti nikajua mzee kaumia nini kumbe jamaa kang'oka meno mawili mpaka kesho hajaota meno dah! wele jamaa wengine wawili mpak leo sijawahi kuwaona tena sema mzee siku hizi kawa mzee sana ilkua balaaa wakuu huko shy town kitambo.shuleni ilikua kosa mwalimu kunirudisha home nikalete mzazi mzee anasema mimi huyo mtoto nimemleta kwenu mmfunze then mnanirudishia na kuniita mm iliweje kunaticha wa muda alinitimua eti nikalete mzazi father kaja skuli kaongea kama kawaida yake ticha anadakia kwa juu kama anataka kumfokea mshua mwalimu mkuu alimwambia yule ticha we mwl kimya hahhahahaha mzeee akaondoka nikapewa adhabu ya kuchimba mashimo ya takataka na kufyeka uwanja mzima wa shule .
Ndala hiyo mkuuSehem gani Mkuu?Ngokolo,Ndala/Upongoji,Mwasele,Buhangija,Ndembezi,Lubaga au?