IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,839
- 7,398
Wakuu leo kuna swali hapa naombeni mnipe majibu kama hamtojali
je ni mambo yapi unayoyapenda kutoka kwa waadventista wasabato liwe moja yawe mawili au zaidi unakaribishwa
Wengi wao ni wapare na wakurya.
Sheria zao zingine zinaboa na hazina hata tija eti ni marufuku kula nyama ya jogoo kuku kwasababu jogoo ni msherati.
Pia eti wanandoa hawaruhusiwi kutumia au kulala kwenye kitanda sita kwa sita eti kinatenganisha wanandoa et kitanda sahihi ni 4×6