Kuna wanaodai mabadiliko yaliyotokea kwenye uchaguzi uliopita ni
(A) Matokeo ya ccm kuteleza kwenye kura ya maoni,Wengine wanadai ni
(B) Matokeo ya watanzania a.k.a Watanganyika kukichoka chama hicho.Wengine wanadai ni
(C) Matokeo ya mwamko wa Watanzania kutaka maendeleo,
(D) All of the Above
Je wewe unadhani kipi ni sahihi,coz majibu ya hapo yatatoa mwelekeo wa uchaguzi wa 2015,tafakari