Yan sijui nikujibu vp yaan natumia kuanzia network za home kufanya Mambo ila sijaharibu nyumban ni uko tu.km ni mtaalam ushanielewaMiamala ya mitandaoni mfano wa Skrill, Paypal na vinavyofanana na hivi huwa unaifanya sana?
Kuna mbinu nimeivumbua ingekua ni halali nastahili tuzo kabisaYan sijui nikujibu vp yaan natumia kuanzia network za home kufanya Mambo ila sijaharibu nyumban ni uko tu.km ni mtaalam ushanielewa
we ndo umenielewa chief nikajua kuna connection apo na mitandao ya Tanzania hapa au na tcra mana dahfacebook wakikudai huwezi tu kutumia hio account kutangaza hadi ulipe, watu kibao hii michezo wanafanya.
na unaongelea kampuni inayoingiza matrilioni ya hela, haina muda wa kulipa mawakili hela ndefu kukufuatilia wewe eti umekimbia na dola 10 ama 100. sana sana wakiona watu wengi si waaminifu wataweka tu vikwazo zaidi ama kufunga kabisa matangazo kwenye nchi zetu.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]nahitaka hiyoo unadaiwa vip mzeeFwcebook wananidai kama $40 hivi, ila changamoto hutaweza kuboost post zako tu hadi uwalipe
tuko pamojaMimi nadaiwa $25 niliwahi kuboost mpaka Leo naona sikawalipa naona hero hiyo $25 niboost kwa page nyingine tu
kumbe tupo wengi m toka wa 7 mpka sasa yan eeeeeeehWananidai Dola 2500 tutafutana tu niliboost post ya ig
Mtu mwenyewe anatapeli $10 🤣🤣🤣🤣Huu utapeli wenu ndio unasababisha waafrika tuonekane shithole kantri
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Tumia paypal alafu hakikisha kwenye paypal usiweke auto pay. Utaboost vizuri tu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]nahitaka hiyoo unadaiwa vip mzee