Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,415
Vipi kuhusu Comptroller and Auditor General siyo sahihi?Controller and Auditor General...
[HASHTAG]#Hit[/HASHTAG] Like haha
Sio sahihiVipi kuhusu Comptroller and Auditor General siyo sahihi?
Mbona kwenye dictionary maneno yote mawili yanajieleza vizuri na yana maana sawa japo yako originated from different languages. Tz tume-opt kutumia “controller” officially ila bado haikuzuii ww kutumia “comptroller”. Hii ungeweza ku-google tu ukajua kama kuna utofauti. Simu/computer unayo ila huitumii ipasavyo, nadhani ni wakati sasa tukubali kuiga nchi ya ChinaVipi kuhusu Comptroller and Auditor General siyo sahihi?
Nili google na kucheki kwenye dictionary nikaona kutumia neno 'Comptroller' kungeleta mashiko zaidi maana lipo very specific. But kutumia 'controller' inakua very general maana ni neno lenye multiple meaningsMbona kwenye dictionary maneno yote mawili yanajieleza vizuri na yana maana sawa japo yako originated from different languages. Tz tume-opt kutumia “controller” officially ila bado haikuzuii ww kutumia “comptroller”. Hii ungeweza ku-google tu ukajua kama kuna utofauti. Simu/computer unayo ila huitumii ipasavyo, nadhani ni wakati sasa tukubali kuiga nchi ya China
Ni controller ingawa ilitakiwa aitwe comptroller kama inavyoelezwa hapa chini (samahani kwa kutumia Kiingereza);Je ni Controller and Auditor General au Comptroller and Auditor General??
Umemaliza kila kitu mkuu.
Ni controller ingawa ilitakiwa aitwe comptroller kama inavyoelezwa hapa chini (samahani kwa kutumia Kiingereza);
The controller and comptroller titles refer to the same position, which is the person responsible for all accounting operations of a business.
The controller title is more frequently found in for-profit businesses, while the comptroller title is more commonly found in governmental and non-profit organizations.
Given the non-profit and governmental locations in which the comptroller title is more commonly found, there is a greater tendency for the comptroller job position to require a greater emphasis on fund accounting.
Kulingana na maelezo haya ya kiuhasibu CAG wetu alitakiwa aitwe Comptroller na si controller ila basi tuliamua mwaka 1961 tulipopata uhuru kumuita controller na kabla ya hapo aliitwa Director of Audit.