samaritan kama mimi extra bright afu nafanya vitu tofauti kwa makusudi katika ufanisi mdogo utasema operating system ipo slow kwa kipimo kipi
Sasa kwa nini ulijaribu kufikiri badala kuamua kufikiri kabisa..hukufikiria kuwa kujaribu kwako kufikiri kunaweza kutufanya tufikiri kuwa hukufikiria hata hicho ulichotaka kujaribu kufikiri...??
Hata hiyo kuamua kufanya kwa makusudi ndio ubright wenyewe. Kunamwenzako hicho ambacho wewe unafanya kwa makusudi yeye ndio kiwango cha mwisho cha juu kabisa.
akipanda gari mi natembea kwa mguu akiwahi mi nachelewa akipata 80 mi napata 40 kwa makusudi na naweza kumoversmart vyote je kipimo gani yeye ametumia kujua am that stupid japo mkuu nimeielewa sana quote yako
unajua akili ni nini?
ndo jibu lako hili