1:Kuweka majani ya chai kwenye sprite ili iwe Cocacola?
2:Kufikiri mzungu ana kimvuli cheupe?
3:Kudhani kuwa kunawakala wa facebook pesa?
4:Kumkimbia simba porini wakati ulikuwa unaenda kunyinga?
5:Kujifanya umeokoka sana mpaka ugali unasongea msalaba?
6:Kutoa mimba alafu unalala na mdori?
7:Kujamba mbele za watu ukiwa umevaa headphone ukizani watu hawatasikia?