Grau JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 4,828 Reaction score 4,740 Mar 26, 2017 #1 A.Kuanza kumpenda mwanamke alafu baadae mkapendana au B.Kuanza kupendwa na mwanamke alafu baadae mkapendana? Je, hapohapo ni yap mahusiano yanadum? just a challenge only.
A.Kuanza kumpenda mwanamke alafu baadae mkapendana au B.Kuanza kupendwa na mwanamke alafu baadae mkapendana? Je, hapohapo ni yap mahusiano yanadum? just a challenge only.
Tanganyika1 JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 424 Reaction score 90 Mar 26, 2017 #2 Bora mwanaume aanze kupenda...wanawake hawana shida ku adapt. Man akipata dem kirahisi anamchukulia poa sana.
Bora mwanaume aanze kupenda...wanawake hawana shida ku adapt. Man akipata dem kirahisi anamchukulia poa sana.