Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Mar 8, 2020 #1 Kama mlidhani Kipanya ni maridadi kwenye siasa pekee basi mnakosea. Leo baada ya mechi ya Simba na Yanga ametoka na katuni hii hapo sasa sijui inamaanisha nini maana naona mapengo kinywani. In God we Trust
Kama mlidhani Kipanya ni maridadi kwenye siasa pekee basi mnakosea. Leo baada ya mechi ya Simba na Yanga ametoka na katuni hii hapo sasa sijui inamaanisha nini maana naona mapengo kinywani. In God we Trust
jd41 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,756 Reaction score 4,849 Mar 8, 2020 #2 Hapa napita tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Mar 8, 2020 Thread starter #3 Usipite mkuu tujadili jd41 said: Hapa napita tu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... In God we Trust
Usipite mkuu tujadili jd41 said: Hapa napita tu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... In God we Trust
fundi25 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 10,378 Reaction score 11,542 Mar 8, 2020 #4 Siku ya wana wake Duniani tuwape matumaini kuwa wanaweza!
K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,633 Reaction score 7,021 Mar 8, 2020 #5 Wanawake wanaweza Sent using Jamii Forums mobile app
jd41 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,756 Reaction score 4,849 Mar 8, 2020 #6 Wakiwezeshwa wanaweza. Sent using Jamii Forums mobile app
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,167 Mar 8, 2020 #7 Yeah! Kipanya; This is simba today became This is Yanger
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,112 Reaction score 831,792 Mar 8, 2020 #8 Alikuwa keshaandaa za kila upande Mmawia said: Kama mlidhani Kipanya ni maridadi kwenye siasa pekee basi mnakosea. Leo baada ya mechi ya Simba na Yanga ametoka na katuni hii hapo sasa sijui inamaanisha nini maana naona mapengo kinywani. View attachment 1381160 In God we Trust Click to expand... Jr
Alikuwa keshaandaa za kila upande Mmawia said: Kama mlidhani Kipanya ni maridadi kwenye siasa pekee basi mnakosea. Leo baada ya mechi ya Simba na Yanga ametoka na katuni hii hapo sasa sijui inamaanisha nini maana naona mapengo kinywani. View attachment 1381160 In God we Trust Click to expand... Jr
Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 16,352 Reaction score 22,958 Mar 8, 2020 #9 Mshana Jr said: Alikuwa keshaandaa za kila upande Jr Click to expand... Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !! Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr said: Alikuwa keshaandaa za kila upande Jr Click to expand... Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !! Sent using Jamii Forums mobile app
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,167 Mar 8, 2020 #10 Odhiambo cairo said: Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sikujua kumbe mshana jr ni Thimba mpaka ule ule utabiri feki ka mikataba yao feki
Odhiambo cairo said: Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sikujua kumbe mshana jr ni Thimba mpaka ule ule utabiri feki ka mikataba yao feki
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Mar 8, 2020 #11 Ndoo maana ukaitwa utabiri, Sent using Jamii Forums mobile app
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Mar 8, 2020 Thread starter #12 Kipanya ni sheeda Mshana Jr said: Alikuwa keshaandaa za kila upande Jr Click to expand... In God we Trust
Kipanya ni sheeda Mshana Jr said: Alikuwa keshaandaa za kila upande Jr Click to expand... In God we Trust
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Mar 8, 2020 Thread starter #13 Vipi alitabiri? Odhiambo cairo said: Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... In God we Trust
Vipi alitabiri? Odhiambo cairo said: Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... In God we Trust
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,065 Mar 8, 2020 #14 mangatara said: Sikujua kumbe mshana jr ni Thimba mpaka ule ule utabiri feki ka mikataba yao feki Click to expand... Kwa hiyo Ulitaka Mshahana jr aishabikie kwasukwasu kisa nini?
mangatara said: Sikujua kumbe mshana jr ni Thimba mpaka ule ule utabiri feki ka mikataba yao feki Click to expand... Kwa hiyo Ulitaka Mshahana jr aishabikie kwasukwasu kisa nini?
Ikhojo JF-Expert Member Joined Feb 2, 2019 Posts 527 Reaction score 448 Mar 8, 2020 #15 Odhiambo cairo said: Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahhahaaaaaaa! utabiri wa kutaka kushawishi watu wakubaliane na utashi wako kwa timu uipendayo ni aibu. Sent using Jamii Forums mobile app
Odhiambo cairo said: Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahhahaaaaaaa! utabiri wa kutaka kushawishi watu wakubaliane na utashi wako kwa timu uipendayo ni aibu. Sent using Jamii Forums mobile app
sayoo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 5,281 Reaction score 7,953 Mar 8, 2020 #16 Mnyama Kang'olewa meno kawa kibogoyo ghafla Sent using Jamii Forums mobile app
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,167 Mar 9, 2020 #17 mmteule said: Kwa hiyo Ulitaka Mshahana jr aishabikie kwasukwasu kisa nini? Click to expand... Thatha unamdanganya apige lamri badala ya ramli?? Thi unaona thatha limeboromoka? Atapata wapi tena mashabiki JF? Tumemgundua kuwa ni mkataba feki huyo
mmteule said: Kwa hiyo Ulitaka Mshahana jr aishabikie kwasukwasu kisa nini? Click to expand... Thatha unamdanganya apige lamri badala ya ramli?? Thi unaona thatha limeboromoka? Atapata wapi tena mashabiki JF? Tumemgundua kuwa ni mkataba feki huyo
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Mar 12, 2020 Thread starter #18 Kwa wafugaji kama mimi hilo neno kwasu kwasu ni nyama mzuri sana mmteule said: Kwa hiyo Ulitaka Mshahana jr aishabikie kwasukwasu kisa nini? Click to expand... In God we Trust
Kwa wafugaji kama mimi hilo neno kwasu kwasu ni nyama mzuri sana mmteule said: Kwa hiyo Ulitaka Mshahana jr aishabikie kwasukwasu kisa nini? Click to expand... In God we Trust
nguriti Senior Member Joined Nov 16, 2016 Posts 121 Reaction score 137 Mar 12, 2020 #19 Odhiambo cairo said: Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyo jamaa hata mm nimemdharau tangu siku ile matokeo yawe tofauti na utabiri wake -
Odhiambo cairo said: Ule utabiri wako umekomea wapi jamaa yangu ?!. Haya mambo wakati mwingine yanaharibu CV za watu !! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyo jamaa hata mm nimemdharau tangu siku ile matokeo yawe tofauti na utabiri wake -