Uguswelana
Senior Member
- Dec 9, 2018
- 106
- 199
Ki vipi! Unaona matanzania yalivyoyaajabu hayana reasoning kabisaMijinga wako wengi humu nawe ni mmoja wao
Siyo kweli umetumia matako kuwazaumekurupuka kuandika haya , lengo la magufuli ni kukuza wajasiriamali ambao mapato yao hayazidi milion nne za kitanzania
tunajua kwamba jinsi unavyofanya biashara lazima itakuwa na hawa wataingizwa katika mfumo rasmi wa kodi na kwa hiyo lengo la serikali litatimia kuwa na walipakodi wakubwa wengi.
Lioneni hili badala ya kuchangia mada limekimbilia matusi ya kijingaSiyo kweli umetumia matako kuwaza
undefinedwalipakodi WAKUBWA?umekurupuka kuandika haya , lengo la magufuli ni kukuza wajasiriamali ambao mapato yao hayazidi milion nne za kitanzaniaundefinedtunajua kwamba jinsi unavyofanya biashara lazima itakuwa na hawa wataingizwa katika mfumo rasmi wa kodi na kwa hiyo lengo la serikali litatimia kuwa na walipakodi wakubwa wengi.