Wakuu,heshima yenu..samahani nahitaji msaada wa wapi naweza kupata kioo complete cha simu tajwa,nimedondosha simu na inavuja tu wino ndani kwa ndani,kifupi natakiwa ninunue kioo kipya,mwenye ufahamu wa wapi kwa kukipata kioo kipya au hata kama ni used but original,naomba anicheki,maelezo yakiambatana na bei nitakuwa nimesaidiwa sana,sina raha and i need to fix this immediately..asanteni!